The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:13

Isaiah 59:13

Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana, 2 kumgeuzia Mungu wetu kisogo, 1 tukichochea udhalimu na maasi, 2 tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

In transgressing and lying against the LORD, and departing away from our God, speaking oppression and revolt, conceiving and uttering from the heart words of falsehood.

In Context

12Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako, 2 na dhambi zetu zinashuhudia dhidi yetu. 1 Makosa yetu yako pamoja nasi daima, 2 nasi tunayatambua maovu yetu: 1

14Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma, 2 nayo haki inasimama mbali, 1 kweli imejikwaa njiani, 2 uaminifu hauwezi kuingia. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Psalms 78:36Lakini walimdanganya kwa vinywa vyao, 2 wakisema uongo kwa ndimi zao, 1

Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1

Isaiah 32:6Kwa kuwa mpumbavu hunena upumbavu, 2 moyo wake hushughulika na uovu: 1 Hutenda mambo yasiyo ya kumcha Mungu, 2 na hueneza habari za makosa kuhusu Bwana; 1 yeye huwaacha wenye njaa bila kitu, 2 na wenye kiu huwanyima maji. 1

Isaiah 57:11“Ni nani uliyemhofu hivyo na kumwogopa 2 hata ukawa mwongo kwangu, 1 wala hukunikumbuka 2 au kutafakari hili moyoni mwako? 1 Si ni kwa sababu nimekuwa kimya muda mrefu 2 hata huniogopi? 1

Jeremiah 2:13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1

Jeremiah 2:17Je, hukujiletea hili wewe mwenyewe 2 kwa kumwacha Bwana, Mungu wako 2 alipowaongoza njiani? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:12Isaiah 59Isaiah 59:14 →