The Bible Software
bible.softwareIsayaIsaya 57 › Isaya 57:17

Isaya 57:17

Nilighadhibika na tamaa yake ya dhambi; 2 nilimwadhibu, nikauficha uso wangu kwa hasira, 2 na bado aliendelea katika njia zake za tamaa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For the iniquity of his covetousness was I wroth, and smote him: I hid me, and was wroth, and he went on frowardly in the way of his heart.

In Context

16Sitaendelea kulaumu milele, 2 wala sitakasirika siku zote, 1 kwa kuwa roho ya mwanadamu 2 ingezimia mbele zangu: 2 yaani pumzi ya mwanadamu niliyemuumba. 1

18Nimeziona njia zake, lakini nitamponya, 2 nitamwongoza na kumrudishia upya faraja, 1

Read all of Isaya 57

Cross References

Ecclesiastes 6:9Ni bora kile ambacho jicho linakiona 2 kuliko hamu isiyotoshelezwa. 1 Hili nalo ni ubatili, 2 ni kukimbiza upepo. 1

Isaiah 5:8Ole wenu mnaoongeza nyumba baada ya nyumba 2 na kuunganisha mashamba baada ya mashamba 1 hadi hakuna nafasi iliyobaki, 2 nanyi mnaishi peke yenu katika nchi. 1

Isaiah 9:13Lakini watu hawajamrudia yeye aliyewapiga, 2 wala hawajamtafuta Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Isaiah 56:11Ni mbwa wenye tamaa kubwa, 2 kamwe hawatosheki. 1 Wao ni wachungaji waliopungukiwa na ufahamu; 2 wote wamegeukia njia yao wenyewe, 2 kila mmoja hutafuta faida yake mwenyewe. 1

Jeremiah 5:3Ee Bwana, je, macho yako hayaitafuti kweli? 2 Uliwapiga, lakini hawakusikia maumivu, 2 uliwapondaponda, lakini walikataa maonyo. 1 Walifanya nyuso zao kuwa ngumu kuliko jiwe 2 nao walikataa kutubu. 1

Jeremiah 8:6Nimewasikiliza kwa makini, 2 lakini hawataki kusema lililo sawa. 1 Hakuna anayetubia makosa yake 2 akisema, “Nimefanya nini?” 1 Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewe 2 kama farasi anayekwenda vitani. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 57:17

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 57:16Isaya 57Isaya 57:18 →