The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 59 › Isaiah 59:4

Isaiah 59:4

Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki; 2 hakuna hata mmoja anayetetea shauri lake kwa haki. 1 Wanategemea mabishano matupu na kusema uongo, 2 huchukua mimba ya magomvi na kuzaa uovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

None calleth for justice, nor any pleadeth for truth: they trust in vanity, and speak lies; they conceive mischief, and bring forth iniquity.

In Context

3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu 2 na vidole vyenu kwa hatia. 1 Midomo yenu imenena uongo, 2 nazo ndimi zenu zimenongʼona mambo maovu. 1

5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali 2 na kutanda wavu wa buibui. 1 Yeyote alaye mayai yao atakufa, 2 na wakati moja lianguliwapo, nyoka hutoka humo. 1

Read all of Isaiah 59

Cross References

Job 15:35Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; 2 matumbo yao huumba udanganyifu.”

Psalms 7:15Yeye achimbaye shimo na kulifukua 2 hutumbukia katika shimo alilochimba mwenyewe. 1

Psalms 62:4Walikusudia kikamilifu kumwangusha 2 toka mahali pake pa fahari; 2 wanafurahia uongo. 1 Kwa vinywa vyao hubariki, 2 lakini ndani ya mioyo yao hulaani. 1

Proverbs 4:16Kwa kuwa hawawezi kulala mpaka watende uovu; 2 wanashindwa hata kusinzia mpaka wamwangushe mtu. 1

Isaiah 33:11Mlichukua mimba ya makapi, 2 mkazaa mabua, 2 pumzi yenu ni moto uwateketezao. 1

Isaiah 59:13Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana, 2 kumgeuzia Mungu wetu kisogo, 1 tukichochea udhalimu na maasi, 2 tukinena uongo ambao mioyo yetu imeuhifadhi. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 59:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 59:3Isaiah 59Isaiah 59:5 →