Isaya 60:18
Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 72:3Milima italeta mafanikio kwa watu, 2 vilima tunda la haki. 1
Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.
Micah 4:3Atahukumu kati ya mataifa mengi, 2 na ataamua migogoro ya mataifa 2 yenye nguvu na yaliyo mbali. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Zechariah 9:8Lakini nitailinda nyumba yangu 2 dhidi ya majeshi ya wanyangʼanyi. 1 Kamwe mdhalimu hatashambulia watu wangu tena, 2 kwa maana sasa ninawachunga. 1 Kuja Kwa Mfalme Wa Sayuni 1