Isaiah 61:8
“Kwa maana Mimi, Bwana, napenda haki, 2 na ninachukia unyangʼanyi na uovu. 1 Katika uaminifu wangu nitawapa malipo yao 2 na kufanya agano la milele nao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
2 Samuel 23:5“Je, si hivyo ilivyo nyumba yangu 2 mbele za Mungu? 1 Je, hajafanya Agano la milele nami, 2 lililopangwa na kuimarishwa 2 kila sehemu? 1 Je, hatanifanya niufurahie wokovu wangu 2 na kunijalia matakwa yangu yote? 1
Psalms 25:8Bwana ni mwema na mwenye adili, 2 kwa hiyo huwafundisha wenye dhambi njia zake. 1
Psalms 33:5Bwana hupenda uadilifu na haki; 2 dunia imejaa upendo wake usiokoma. 1
Psalms 45:7Unaipenda haki na kuchukia uovu; 2 kwa hiyo Mungu, Mungu wako, 1 amekuweka juu ya wenzako, 2 kwa kukupaka mafuta ya furaha. 1
Psalms 99:4Mfalme ni mwenye nguvu na hupenda haki, 2 wewe umethibitisha adili; 1 katika Yakobo umefanya 2 yaliyo haki na sawa. 1