The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 62 › Isaiah 62:4

Isaiah 62:4

Hawatakuita tena Aliyeachwa, 2 wala nchi yako kuiita Ukiwa. 1 Bali utaitwa Hefsiba, + 62:4 Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia. 2 nayo nchi yako itaitwa Beula, + 62:4 Beula maana yake Aliyeolewa. 1 kwa maana Bwana atakufurahia, 2 nayo nchi yako itaolewa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt no more be termed Forsaken; neither shall thy land any more be termed Desolate: but thou shalt be called Hephzi-bah, and thy land Beulah: for the LORD delighteth in thee, and thy land shall be married.

In Context

3Utakuwa taji ya fahari mkononi mwa Bwana, 2 taji ya kifalme mkononi mwa Mungu wako. 1

5Kama vile kijana aoavyo mwanamwali, 2 ndivyo wanao + 62:5 Au: wajenzi wako. watakavyokuoa wewe; 1 kama bwana arusi amfurahiavyo bibi arusi wake, 2 ndivyo Mungu wako atakavyokufurahia wewe. 1

Read all of Isaiah 62

Cross References

Psalms 16:3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani, 2 ndio walio wa fahari ambao ninapendezwa nao. 1

Isaiah 32:14Ngome itaachwa, 2 mji wenye kelele nyingi utahamwa, 1 ngome ndani ya mji na mnara wa ulinzi vitakuwa ukiwa milele, 2 mahali pazuri pa punda na malisho ya makundi ya kondoo, 1

Isaiah 54:1“Imba, ewe mwanamke tasa, 2 wewe ambaye kamwe hukuzaa mtoto; 1 paza sauti kwa kuimba, piga kelele kwa furaha, 2 wewe ambaye kamwe hukupata utungu; 1 kwa sababu watoto wa mwanamke aliyeachwa ukiwa ni wengi 2 kuliko wa mwanamke mwenye mume,” 4 asema Bwana. 1

Isaiah 54:6Bwana atakuita urudi 2 kana kwamba ulikuwa mke aliyeachwa na kuhuzunishwa rohoni; 1 kama mke aliyeolewa bado angali kijana 2 na kukataliwa,” asema Mungu wako. 1

Isaiah 61:10Ninafurahia sana katika Bwana, 2 nafsi yangu inashangilia katika Mungu wangu. 1 Kwa maana amenivika mavazi ya wokovu, 2 na kunipamba kwa joho la haki, 1 kama vile bwana arusi apambavyo 2 kichwa chake kama kuhani, 1 na kama bibi arusi ajipambavyo 2 kwa vito vyake vya thamani. 1

Isaiah 62:12Wataitwa Watu Watakatifu, 2 Waliokombolewa na Bwana; 2 nawe utaitwa Aliyetafutwa, 2 Mji Usioachwa Tena.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 62:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 62:3Isaiah 62Isaiah 62:5 →