Isaiah 62:7
msimwache apumzike hadi atakapoufanya imara Yerusalemu 2 na kuufanya uwe sifa ya dunia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And give him no rest, till he establish, and till he make Jerusalem a praise in the earth.
In Context
Cross References
Isaiah 60:18Jeuri hazitasikika tena katika nchi yako, 2 wala maangamizi au uharibifu ndani ya mipaka yako, 1 lakini utaita kuta zako Wokovu, 2 na malango yako Sifa. 1
Jeremiah 33:9Kisha mji huu utaniletea utukufu, furaha, sifa na heshima mbele ya mataifa yote ya dunia yatakayosikia mambo yote mazuri ninayoufanyia. Nao watashangaa na kutetemeka kwa ajili ya wingi wa mafanikio na amani nitakayoupatia.’
Matthew 6:9“Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba: 1 “ ‘Baba yetu uliye mbinguni, 2 Jina lako litukuzwe. 1
Luke 18:1Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa.