The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 65 › Isaiah 65:11

Isaiah 65:11

“Bali kwenu ninyi mnaomwacha Bwana 2 na kuusahau mlima wangu mtakatifu, 1 ninyi mnaoandaa meza kwa ajili ya Bahati, + 65:11 Bahati alikuwa mungu wa Wakaldayo ambaye pia alijulikana kama Gadi. 2 na kujaza mabakuli ya mvinyo uliochanganywa 2 kwa ajili ya Ajali, + 65:11 Ajali au Meni alikuwa mungu wa majaliwa. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But ye are they that forsake the LORD, that forget my holy mountain, that prepare a table for that troop, and that furnish the drink offering unto that number.

In Context

10Sharoni itakuwa malisho 2 kwa ajili ya makundi ya kondoo, 1 na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia 2 kwa makundi ya ngʼombe, 2 kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta. 1

12nitawaagiza mfe kwa upanga, 2 nanyi nyote mtainama chini ili kuchinjwa; 1 kwa kuwa niliwaita lakini hamkuitika, 2 nilisema lakini hamkusikiliza. 1 Mlitenda maovu machoni pangu, 2 nanyi mkachagua mambo yale yanayonichukiza.”

Read all of Isaiah 65

Cross References

Deuteronomy 32:17Wakatoa dhabihu kwa pepo, ambao si Mungu: 2 miungu wasiyoijua, 2 miungu iliyojitokeza siku za karibuni, 2 miungu ambayo baba zenu hawakuiogopa. 1

1 Chronicles 28:9“Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.

Isaiah 1:28Lakini waasi na wenye dhambi wote wataangamizwa, 2 nao wanaomwacha Bwana wataangamia. 1

Isaiah 11:9Hawatadhuru wala kuharibu 2 juu ya mlima wangu mtakatifu wote, 1 kwa kuwa dunia itajawa na kumjua Bwana 2 kama maji yajazavyo bahari.

Isaiah 57:5Mnawaka tamaa katikati ya mialoni 2 na chini ya kila mti uliotanda matawi; 1 mnawatoa kafara watoto wenu kwenye mabonde 2 na chini ya majabali yenye mianya. 1

Isaiah 65:25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja, 2 naye simba atakula nyasi kama maksai, 2 lakini mavumbi yatakuwa chakula cha nyoka. 1 Hawatadhuru wala kuharibu 2 katika mlima wangu mtakatifu wote,” 4 asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 65:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 65:10Isaiah 65Isaiah 65:12 →