Isaiah 65:10
Sharoni itakuwa malisho 2 kwa ajili ya makundi ya kondoo, 1 na Bonde la Akori mahali pa kupumzikia 2 kwa makundi ya ngʼombe, 2 kwa ajili ya watu wangu wanaonitafuta. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Joshua 7:26Wakakusanya lundo la mawe juu ya Akani, ambalo lipo mpaka leo. Naye Bwana akageuka kutoka hasira yake kali. Kwa hiyo mahali pale pakaitwa Bonde la Akori + 7:26 Akori yamaanisha taabu . tangu siku hiyo.
Isaiah 33:9Ardhi inaomboleza + 33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa, 2 Lebanoni imeaibika na kunyauka, 1 Sharoni ni kama Araba, 2 nayo Bashani na Karmeli 2 wanapukutisha majani yao. 1
Isaiah 51:1“Nisikilizeni, ninyi mnaofuatia haki 2 na mnaomtafuta Bwana: 1 Tazameni mwamba ambako mlichongwa, 2 na mahali pa kuvunjia mawe ambako mlichimbwa; 1
Jeremiah 33:12“Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: ‘Mahali hapa, ambapo ni ukiwa, pasipo na wanadamu wala wanyama: katika miji yake, patakuwepo tena malisho kwa ajili ya wachungaji kupumzisha makundi yao ya kondoo.
Hosea 2:15Huko nitamrudishia mashamba yake ya mizabibu, 2 nami nitalifanya Bonde la Akori + 2:15 Akori maana yake ni Taabu. 2 mlango wa matumaini. 1 Huko ataimba kama alivyofanya katika siku za ujana wake, 2 kama siku zile alizotoka Misri. 1