The Bible Software
bible.softwareIsaiahIsaiah 66 › Isaiah 66:13

Isaiah 66:13

Kama mama anavyomfariji mtoto wake, 2 ndivyo nitakavyokufariji wewe, 2 nawe utafarijiwa huko Yerusalemu.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As one whom his mother comforteth, so will I comfort you; and ye shall be comforted in Jerusalem.

In Context

12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Nitamwongezea amani kama mto, 2 nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; 1 utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake 2 na kubembelezwa magotini pake. 1

14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia, 2 nanyi mtastawi kama majani; 1 mkono wa Bwana utajulikana kwa watumishi wake, 2 bali ghadhabu yake kali 2 itaonyeshwa kwa adui zake. 1

Read all of Isaiah 66

Cross References

Isaiah 40:1Wafarijini, wafarijini watu wangu, 2 asema Mungu wenu. 1

Isaiah 51:12“Mimi, naam mimi, 2 ndimi niwafarijie ninyi. 1 Ninyi ni nani hata kuwaogopa 2 wanadamu wanaokufa, 2 wanadamu ambao ni majani tu, 1

Isaiah 66:10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1

1 Thessalonians 2:7lakini tulikuwa wapole katikati yenu, kama mama anayewatunza watoto wake wadogo.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaiah 66:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaiah 66:12Isaiah 66Isaiah 66:14 →