Proverbs 3:8
Hii itakuletea afya mwilini mwako, 2 na mafuta kwenye mifupa yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
It shall be health to thy navel, and marrow to thy bones.
In Context
7Usiwe mwenye hekima machoni pako mwenyewe; 2 mche Bwana ukajiepushe na uovu. 1
9Mheshimu Bwana kwa mali zako na 2 kwa malimbuko ya mazao yako yote; 1
Cross References
Job 21:24mwili wake ukiwa umenawiri, 2 nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 1
Proverbs 4:22kwa sababu ni uzima kwa wale wanaoyapata 2 na afya kwa mwili wote wa mwanadamu. 1
Isaiah 1:6Kutoka wayo wako wa mguu hadi kwenye utosi wa kichwa chako 2 hakuna uzima: 1 ni majeraha matupu na makovu 2 na vidonda vitokavyo damu, 1 havikusafishwa au kufungwa 2 wala kulainishwa kwa mafuta. 1
Ezekiel 16:4Siku uliyozaliwa kitovu chako hakikukatwa, wala hukuogeshwa kwa maji ili kukufanya safi, wala hukusuguliwa kwa chumvi wala kufunikwa kwa nguo.