Isaiah 7:12
Lakini Ahazi akasema, “Sitaomba; sitamjaribu Bwana.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But Ahaz said, I will not ask, neither will I tempt the LORD.
In Context
11“Mwombe Bwana Mungu wako ishara, iwe kwenye vina virefu sana, au kwenye vimo virefu sana.”
Cross References
Deuteronomy 6:16Usimjaribu Bwana Mungu wako kama ulivyofanya huko Masa.
2 Chronicles 28:22Katika wakati wake wa mateso Mfalme Ahazi akazidi kukosa uaminifu kwa Bwana.
Malachi 3:15Lakini sasa wenye kiburi wanabarikiwa. Hakika watenda mabaya wanastawi, pia hata wale wanaoshindana na Mungu ndio wanaosalimika.’ ”
1 Corinthians 10:9Wala tusimjaribu Kristo, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.