Hosea 5:9
Efraimu ataachwa ukiwa 2 katika siku ya kuadhibiwa. 1 Miongoni mwa makabila ya Israeli 2 ninatangaza lile ambalo halina budi kutukia. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Isaiah 28:1Ole kwa lile taji la maua, kiburi cha walevi wa Efraimu, 2 kwa ua linalosinyaa, uzuri wa utukufu wake, 1 uliowekwa kwenye kichwa cha bonde lenye rutuba: 2 kwa ule mji, kiburi cha wale walioshushwa na mvinyo! 1
Isaiah 46:10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo, 2 naam, tangu zamani za kale, 2 mambo ambayo hayajatendeka. 1 Ninasema: Kusudi langu ndilo litakalosimama, 2 nami nitatenda mapenzi yangu yote. 1
Isaiah 48:5Kwa hiyo nilikuambia mambo haya tangu zamani, 2 kabla hayajatokea nilikutangazia 1 ili usije ukasema, 2 ‘Sanamu zangu zilifanya hayo; 2 kinyago changu cha mti na mungu wangu wa chuma aliyaamuru.’ 1
Hosea 5:14Kwa maana nitakuwa kama simba kwa Efraimu, 2 kama simba mkubwa kwa Yuda. 1 Nitawararua vipande vipande na kuondoka; 2 nitawachukua mbali, 2 na hakuna wa kuwaokoa. 1
Hosea 8:8Israeli amemezwa; 2 sasa yupo miongoni mwa mataifa 2 kama kitu kisicho na thamani. 1
Hosea 9:11Utukufu wa Efraimu utaruka kama ndege: 2 hakuna kuzaa, hakuna kuchukua mimba, 2 hakuna kutunga mimba. 1