Jonah 4:11
Lakini Ninawi ina zaidi ya watu 120,000 ambao hawawezi kupambanua kulia au kushoto, pamoja na ngʼombe wengi. Je, hainipasi kufikiri juu ya mji ule mkubwa?”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:10pia na kila kiumbe hai kilichokuwa pamoja nanyi: Ndege, wanyama wa kufugwa na wanyama wote wa porini, wale wote waliotoka katika safina pamoja nanyi, kila kiumbe hai duniani.
Psalms 36:6Haki yako ni kama milima mikubwa, 2 hukumu zako ni kama kilindi kikuu. 1 Ee Bwana, wewe huwahifadhi 2 mwanadamu na mnyama. 1
Psalms 104:27Hawa wote wanakutazamia wewe, 2 uwape chakula chao kwa wakati wake. 1
Psalms 145:9Bwana ni mwema kwa wote, 2 ana huruma kwa vyote alivyovifanya. 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Jonah 3:2“Ondoka uende katika mji mkubwa wa Ninawi, ukautangazie ujumbe ninaokupa.”