Isaiah 9:16
Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha, 2 nao wale wanaoongozwa wamepotoka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For the leaders of this people cause them to err; and they that are led of them are destroyed.
In Context
15Wazee na watu mashuhuri ndio vichwa, 2 nao manabii wanaofundisha uongo ndio mkia. 1
Cross References
1 Kings 8:55Akasimama na kubariki kusanyiko lote la Israeli kwa sauti kubwa akisema:
Isaiah 3:12Vijana wanawatesa watu wangu, 2 wanawake wanawatawala. 1 Enyi watu wangu, viongozi wenu wanawapotosha, 2 wanawapoteza njia. 1
Isaiah 10:4Hakutasalia kitu chochote, 2 isipokuwa kujikunyata miongoni mwa mateka, 2 au kuanguka miongoni mwa waliouawa. 1 Hata kwa haya yote, hasira yake haijageukia mbali, 2 mkono wake bado umeinuliwa juu. 1 Hukumu Ya Mungu Juu Ya Ashuru 1
Jeremiah 18:21Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; 2 uwaache wauawe kwa makali ya upanga. 1 Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; 2 waume wao wauawe, 1 nao vijana wao waume 2 wachinjwe kwa upanga vitani. 1
Matthew 23:16“Ole wenu, viongozi vipofu! Ninyi mwasema, ‘Mtu akiapa kwa Hekalu, kiapo hicho si kitu; lakini mtu akiapa kwa dhahabu ya Hekalu, amefungwa kwa kiapo chake.’