The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 18 › Jeremiah 18:21

Jeremiah 18:21

Kwa hiyo uwaache watoto wao waone njaa; 2 uwaache wauawe kwa makali ya upanga. 1 Wake zao wasiwe na watoto, na wawe wajane; 2 waume wao wauawe, 1 nao vijana wao waume 2 wachinjwe kwa upanga vitani. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore deliver up their children to the famine, and pour out their blood by the force of the sword; and let their wives be bereaved of their children, and be widows; and let their men be put to death; let their young men be slain by the sword in battle.

In Context

20Je, mema yalipwe kwa mabaya? 2 Lakini wao wamenichimbia shimo. 1 Kumbuka kwamba nilisimama mbele yako 2 na kunena mema kwa ajili yao, 2 ili wewe ugeuze hasira yako kali mbali nao. 1

22Kilio na kisikike kutoka kwenye nyumba zao 2 ghafula uwaletapo adui dhidi yao, 1 kwa kuwa wamechimba shimo ili kunikamata 2 na wameitegea miguu yangu mitego. 1

Read all of Jeremiah 18

Cross References

Deuteronomy 32:25Barabarani upanga utawakosesha watoto; 2 nyumbani mwao hofu itatawala. 1 Vijana wao wa kiume na wa kike wataangamia, 2 pia watoto wachanga na wazee wenye mvi. 1

Psalms 63:11Bali mfalme atafurahi katika Mungu, 2 wale wote waapao kwa jina la Mungu watamsifu, 2 bali vinywa vya waongo vitanyamazishwa.

Isaiah 9:16Wale wanaowaongoza watu hawa wanawapotosha, 2 nao wale wanaoongozwa wamepotoka. 1

Jeremiah 11:20Lakini, Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, wewe uhukumuye kwa haki, 2 nawe uchunguzaye moyo na akili, 1 wacha nione ukiwalipiza wao kisasi, 2 kwa maana kwako nimeweka shauri langu.

Jeremiah 12:3Hata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana; 2 unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe. 1 Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa! 2 Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 1

Jeremiah 15:8Nitawafanya wajane wao kuwa wengi 2 kuliko mchanga wa bahari. 1 Wakati wa adhuhuri nitamleta mharabu 2 dhidi ya mama wa vijana wao waume; 1 kwa ghafula nitaleta juu yao 2 maumivu makuu na hofu kuu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 18:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 18:20Jeremiah 18Jeremiah 18:22 →