The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 11 › Jeremiah 11:21

Jeremiah 11:21

“Kwa hiyo hili ndilo Bwana asemalo kuhusu watu wa Anathothi wale wanaotafuta uhai wako wakisema, ‘Usitoe unabii kwa jina la Bwana, la sivyo utakufa kwa mikono yetu’:

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Therefore thus saith the LORD of the men of Anathoth, that seek thy life, saying, Prophesy not in the name of the LORD, that thou die not by our hand:

In Context

20Lakini, Ee Bwana Mwenye Nguvu Zote, wewe uhukumuye kwa haki, 2 nawe uchunguzaye moyo na akili, 1 wacha nione ukiwalipiza wao kisasi, 2 kwa maana kwako nimeweka shauri langu.

22kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote asemalo: ‘Nitawaadhibu. Vijana wao waume watakufa kwa upanga, wana wao na binti zao kwa njaa.

Read all of Jeremiah 11

Cross References

Isaiah 30:10Wanawaambia waonaji, 2 “Msione maono tena!” 1 Nako kwa manabii wanasema, 2 “Msiendelee kutupatia maono 2 ambayo ni ya kweli! 1 Tuambieni mambo ya kupendeza, 2 tabirini mambo ya uongo. 1

Jeremiah 12:5“Ikiwa umeshindana mbio na watu kwa mguu na wakakushinda, 2 unawezaje kushindana na farasi? 1 Ikiwa unajikwaa kwenye nchi ambayo ni salama, 2 utawezaje kwenye vichaka kando ya Yordani? 1

Jeremiah 20:1Ikawa kuhani Pashuri mwana wa Imeri, mkuu wa maafisa wa Hekalu la Bwana, alipomsikia Yeremia akitoa unabii juu ya mambo haya,

Jeremiah 26:8Lakini mara tu Yeremia alipomaliza kuwaambia watu kila kitu Bwana alichomwamuru kukisema, basi makuhani, manabii na watu wote walimkamata wakisema, “Ni lazima ufe!

Amos 2:12“Lakini mliwafanya Wanadhiri kunywa mvinyo 2 na kuwaamuru manabii wasitoe unabii. 1

Micah 2:6Manabii wao husema, “Usitabiri. 2 Usitabiri kuhusu vitu hivi; 2 aibu haitatupata.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 11:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 11:20Jeremiah 11Jeremiah 11:22 →