The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 12 › Yeremia 12:2

Yeremia 12:2

Umewapanda, nao wameota, 2 wanakua na kuzaa matunda. 1 Daima u midomoni mwao, 2 lakini mbali na mioyo yao. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou hast planted them, yea, they have taken root: they grow, yea, they bring forth fruit: thou art near in their mouth, and far from their reins.

In Context

1Wewe daima u mwenye haki, Ee Bwana, 2 niletapo mashtaka mbele yako. 1 Hata hivyo nitazungumza nawe kuhusu hukumu yako: 2 Kwa nini njia ya waovu inafanikiwa? 1 Kwa nini wasio waaminifu 2 wote wanaishi kwa raha? 1

3Hata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana; 2 unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe. 1 Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa! 2 Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 1

Read all of Yeremia 12

Cross References

Job 24:12Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini, 2 nazo nafsi za waliojeruhiwa zinalilia msaada. 1 Lakini Mungu hamlaumu mtu yeyote 2 kwa kutenda mabaya. 1

Isaiah 29:13Bwana anasema: 1 “Watu hawa hunikaribia kwa vinywa vyao 2 na kuniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1 Ibada yao kwangu inatokana na maagizo 2 waliyofundishwa na wanadamu. 1

Jeremiah 11:17Bwana Mwenye Nguvu Zote, aliyekupanda, ametamka maafa kwa ajili yako, kwa sababu nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda mmefanya maovu na kunikasirisha kwa kumfukizia Baali uvumba. 1 Shauri Baya Dhidi Ya Yeremia

Ezekiel 17:5“ ‘Akachukua baadhi ya mbegu za nchi yako na kuziweka katika udongo wenye rutuba. Akazipanda kama mti umeao kando ya maji mengi,

Ezekiel 33:31Watu wangu wanakujia, kama wafanyavyo, nao wanaketi mbele yako kama watu wangu na kusikiliza maneno yako, lakini hawayatendi. Kwa maana udanganyifu u katika midomo yao, lakini mioyo yao ina tamaa ya faida isiyo halali.

Matthew 15:8“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 12:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 12:1Yeremia 12Yeremia 12:3 →