The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 12 › Yeremia 12:3

Yeremia 12:3

Hata hivyo unanijua mimi, Ee Bwana; 2 unaniona na kuyachunguza mawazo yangu kukuhusu wewe. 1 Wakokote kama kondoo wanaokwenda kuchinjwa! 2 Watenge kwa ajili ya siku ya kuchinjwa! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But thou, O LORD, knowest me: thou hast seen me, and tried mine heart toward thee: pull them out like sheep for the slaughter, and prepare them for the day of slaughter.

In Context

2Umewapanda, nao wameota, 2 wanakua na kuzaa matunda. 1 Daima u midomoni mwao, 2 lakini mbali na mioyo yao. 1

4Je, nchi itakaa katika hali ya kuomboleza mpaka lini, 2 na majani katika kila shamba kunyauka? 1 Kwa sababu wale waishio ndani yake ni waovu, 2 wanyama na ndege wameangamia. 1 Zaidi ya hayo, watu wanasema, 2 “ Bwana hataona yatakayotupata sisi.” 1 Jibu La Mungu 1

Read all of Yeremia 12

Cross References

1 Chronicles 29:17Ninajua, Mungu wangu, kwamba wewe huujaribu moyo na unapendezwa na unyofu. Vitu hivi vyote nimetoa kwa hiari na kwa moyo mnyofu. Nami sasa nimeona kwa furaha jinsi watu wako walioko hapa kwa hiari yao walivyokutolea wewe.

Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1

Psalms 17:3Ingawa unauchunguza moyo wangu na kunikagua usiku, 2 ingawa umenijaribu, hutaona chochote. 1 Nimeamua kwamba kinywa changu 2 hakitatenda dhambi. 1

Psalms 44:21je, Mungu hangaligundua hili, 2 kwa kuwa anazijua siri za moyo? 1

Psalms 139:23Ee Mungu, nichunguze, uujue moyo wangu, 2 nijaribu na ujue mawazo yangu. 1

Jeremiah 17:18Watesi wangu na waaibishwe, 2 lakini nilinde mimi nisiaibike; 1 wao na watiwe hofu kuu, 2 lakini unilinde mimi na hofu kuu. 1 Waletee siku ya maafa; 2 waangamize kwa maangamizi maradufu. 1 Kuiadhimisha Sabato

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 12:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 12:2Yeremia 12Yeremia 12:4 →