Mathayo 15:8
“ ‘Watu hawa huniheshimu kwa midomo yao, 2 lakini mioyo yao iko mbali nami. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Ninyi wanafiki! Isaya alikuwa sawa alipotabiri juu yenu kwamba: 1
Cross References
Proverbs 23:26Mwanangu, nipe moyo wako, 2 macho yako na yafuate njia zangu, 1
Jeremiah 12:2Umewapanda, nao wameota, 2 wanakua na kuzaa matunda. 1 Daima u midomoni mwao, 2 lakini mbali na mioyo yao. 1
John 1:47Yesu alipomwona Nathanaeli anakaribia, akanena habari zake akasema, “Tazama huyu ni Mwisraeli kweli kweli; hana hila ndani yake.”
Hebrews 3:12Ndugu zangu, angalieni, asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai.