The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 14 › Yeremia 14:2

Yeremia 14:2

“Yuda anaomboleza, 2 miji yake inayodhoofika; 1 wanaomboleza kwa ajili ya nchi, 2 nacho kilio kinapanda kutoka Yerusalemu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Judah mourneth, and the gates thereof languish; they are black unto the ground; and the cry of Jerusalem is gone up.

In Context

1Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame: 1

3Wakuu wanawatuma watumishi wao maji; 2 wanakwenda visimani 2 lakini humo hakuna maji. 1 Wanarudi na vyombo bila maji; 2 wakiwa na hofu na kukata tamaa, 2 wanafunika vichwa vyao. 1

Read all of Yeremia 14

Cross References

1 Samuel 5:12Wale ambao hawakufa walipatwa na majipu, na kilio cha mji kilikwenda juu hadi mbinguni.

Job 34:28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, 2 hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 1

Isaiah 5:7Shamba la mzabibu la Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 ni nyumba ya Israeli, 1 na watu wa Yuda 2 ni bustani yake ya kumpendeza. 1 Alitazamia haki, lakini akaona umwagaji damu, 2 alitazamia uadilifu, lakini akasikia vilio vya taabu. 1 Ole Na Hukumu 1

Isaiah 24:4Dunia inakauka na kunyauka, 2 dunia inanyongʼonyea na kunyauka, 2 waliotukuzwa wa dunia wananyongʼonyea. 1

Isaiah 24:11Barabarani wanalilia kupata mvinyo, 2 furaha yote imegeuka kuwa majonzi, 2 furaha yote imefukuziwa mbali na dunia. 1

Jeremiah 4:28Kwa hiyo dunia itaomboleza 2 na mbingu zilizo juu zitakuwa giza, 1 kwa sababu nimesema nami sitarudi nyuma, 2 nimeamua na wala sitageuka.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 14:2

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 14:1Yeremia 14Yeremia 14:3 →