Yeremia 13:10
Watu hawa waovu, wanaokataa kusikiliza maneno yangu, wafuatao ukaidi wa mioyo yao na kufuata miungu mingine kuitumikia na kuiabudu, watakuwa kama mkanda huu ambao haufai kabisa!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Numbers 14:11Bwana akamwambia Mose, “Watu hawa watanidharau mpaka lini? Wataendelea kukataa kuniamini mimi mpaka lini, ingawa nimetenda ishara za miujiza miongoni mwao?
Psalms 78:8Ili wasifanane na baba zao, 2 waliokuwa kizazi cha ukaidi na uasi, 1 ambao roho zao hazikuwa na uaminifu kwake, 2 ambao roho zao hazikumwamini. 1
Isaiah 3:24Badala ya harufu ya manukato kutakuwa na uvundo; 2 badala ya mishipi, ni kamba; 1 badala ya nywele zilizotengenezwa vizuri, ni upara; 2 badala ya mavazi mazuri, ni nguo za magunia; 2 badala ya uzuri, ni alama ya aibu kwa chuma cha moto. 1
Jeremiah 5:23Lakini watu hawa wana mioyo ya ukaidi na ya uasi, 2 wamegeukia mbali na kwenda zao. 1
Jeremiah 7:24Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Walirudi nyuma badala ya kusonga mbele.
Jeremiah 9:13Bwana akasema, “Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu, niliyoiweka mbele yao: hawajaniheshimu mimi wala kufuata sheria yangu.