Jeremiah 13:9
“Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Vivyo hivyo ndivyo nitakavyokiharibu kiburi cha Yuda na kiburi kikuu cha Yerusalemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
8Ndipo neno la Bwana likanijia:
Cross References
Job 40:10Basi jivike mwenyewe utukufu na fahari, 2 nawe uvae heshima na enzi. 1
Isaiah 2:10Ingieni kwenye miamba, 2 jificheni ardhini 1 kutokana na utisho wa Bwana 2 na utukufu wa enzi yake! 1
Isaiah 16:6Tumesikia juu ya kiburi cha Moabu: 2 kiburi chake cha kujivuna na udanganyifu, 1 kiburi chake na ufidhuli wake, 2 lakini majivuno yake si kitu. 1
Jeremiah 13:15Sikieni na mzingatie, 2 msiwe na kiburi, 2 kwa kuwa Bwana amenena. 1
Jeremiah 25:18Yaani Yerusalemu na miji ya Yuda, wafalme wake na maafisa wake, kuwafanya magofu na kuwa kitu cha kuchukiza, cha dhihaka na laana, kama walivyo leo;
Lamentations 5:5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu, 2 tumechoka na hakuna pumziko. 1