The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 13 › Jeremiah 13:22

Jeremiah 13:22

Nawe kama ukijiuliza, 2 “Kwa nini haya yamenitokea?” 1 Ni kwa sababu ya dhambi zako nyingi 2 ndipo marinda yako yameraruliwa 2 na mwili wako umetendewa vibaya. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And if thou say in thine heart, Wherefore come these things upon me? For the greatness of thine iniquity are thy skirts discovered, and thy heels made bare.

In Context

21Utasema nini Bwana atakapowaweka juu yako 2 wale ulioungana nao kama marafiki wako maalum? 1 Je, hutapatwa na utungu kama mwanamke 2 aliye katika utungu wa kuzaa? 1

23Je, Mkushi aweza kubadili ngozi yake 2 au chui kubadili madoadoa yake? 1 Vivyo hivyo nawe huwezi kufanya mema 2 wewe uliyezoea kutenda mabaya. 1

Read all of Jeremiah 13

Cross References

Deuteronomy 7:17Mnaweza kujiuliza wenyewe “Mataifa haya ni yenye nguvu kuliko sisi. Tutawezaje kuwafukuza?”

Deuteronomy 18:21Mnaweza kuulizana wenyewe, “Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Bwana?”

Isaiah 20:4vivyo hivyo mfalme wa Ashuru atawaongoza mateka wa Wamisri, na watu wa uhamisho wa Kushi, uchi na bila viatu, vijana hata wazee, wakiwa matako wazi, kwa aibu ya Wamisri.

Isaiah 47:8“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa, 2 ukaaye mahali pako pa salama, 1 na kujiambia mwenyewe, 2 ‘Mimi ndiye, wala hakuna mwingine zaidi yangu. 1 Kamwe sitakuwa mjane, 2 wala sitafiwa na watoto.’ 1

Jeremiah 2:19Uovu wako utakuadhibu; 2 kurudi nyuma kwako kutakukemea. 1 Basi kumbuka, utambue 2 jinsi lilivyo ovu na chungu kwako 1 unapomwacha Bwana Mungu wako 2 na kutokuwa na hofu yangu,” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1

Jeremiah 9:2Laiti ningekuwa na nyumba 2 ya kukaa wasafiri jangwani, 1 ningewaacha watu wangu 2 na kwenda mbali nao, 1 kwa kuwa wote ni wazinzi, 2 kundi la watu wadanganyifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 13:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 13:21Jeremiah 13Jeremiah 13:23 →