Isaiah 13:8
Hofu itawakamata, 2 uchungu na maumivu makali yatawashika, 1 watagaagaa kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa. 1 Watatazamana kwa hofu kila mtu na mwenzake, 2 nyuso zao zikiwaka kama moto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Kwa sababu ya hili, mikono yote italegea, 2 moyo wa kila mtu utayeyuka. 1
Cross References
Psalms 48:7Uliwaangamiza kama meli za Tarshishi 2 zilizovunjwa na upepo wa mashariki. 1
Isaiah 26:17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa 2 anavyogaagaa na kulia kwa ajili ya maumivu yake, 2 ndivyo tulivyokuwa mbele zako, Ee Bwana. 1
Jeremiah 30:6Ulizeni na mkaone: 2 Je, mwanaume aweza kuzaa watoto? 1 Kwa nini basi ninaona kila mwanaume mwenye nguvu 2 ameweka mikono yake tumboni 1 kama mwanamke aliye na utungu wa kuzaa, 2 kila uso ukigeuka rangi kabisa? 1
Daniel 5:5Ghafula vidole vya mkono wa mwanadamu vilitokea na kuandika juu ya ukuta, karibu na kinara cha taa ndani ya jumba la mfalme. Mfalme akatazama kitanga kilivyokuwa kikiandika.
Nahum 2:10Ameharibiwa, ametekwa nyara, ameachwa uchi! 2 Mioyo inayeyuka, magoti yanalegea, 1 miili inatetemeka, 2 na kila uso umebadilika rangi. 1
1 Thessalonians 5:3Wakati watu wanaposema, “Kuna amani na salama,” maangamizi huwajia ghafula, kama vile utungu umjiavyo mwanamke mwenye mimba; nao hakika hawatatoroka.