The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 14 › Jeremiah 14:21

Jeremiah 14:21

Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa; 2 usikidharau kiti chako cha enzi kilichotukuka. 1 Kumbuka agano lako nasi 2 na usilivunje. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Do not abhor us, for thy name’s sake, do not disgrace the throne of thy glory: remember, break not thy covenant with us.

In Context

20Ee Bwana, tunatambua uovu wetu 2 na kosa la baba zetu; 2 kweli tumetenda dhambi dhidi yako. 1

22Je, kuna sanamu yoyote isiyofaa kitu ya mataifa 2 iwezayo kuleta mvua? 1 Je, anga peke yake zaweza kutoa mvua? 2 La hasha, ni wewe peke yako, 2 Ee Bwana, Mungu wetu. 1 Kwa hiyo tumaini letu liko kwako, 2 kwa kuwa wewe ndiwe ufanyaye haya yote.

Read all of Jeremiah 14

Cross References

Leviticus 26:11Nitafanya makao yangu miongoni mwenu, nami sitawachukia.

Deuteronomy 32:19Bwana akaona hili, akawakataa, 2 kwa sababu alikasirishwa 2 na wanawe na binti zake. 1

Psalms 74:2Kumbuka watu uliowanunua zamani, 2 kabila la urithi wako, ambao uliwakomboa: 2 Mlima Sayuni, ambamo uliishi. 1

Psalms 74:20Likumbuke agano lako, 2 maana mara kwa mara mambo ya jeuri 2 yamejaa katika sehemu za giza nchini. 1

Psalms 89:39Umelikana agano lako na mtumishi wako, 2 na umeinajisi taji yake mavumbini. 1

Psalms 106:45kwa ajili yao akakumbuka agano lake, 2 na kutokana na upendo wake mkuu akapooza hasira yake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 14:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 14:20Jeremiah 14Jeremiah 14:22 →