The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 16 › Yeremia 16:8

Yeremia 16:8

“Usiingie katika nyumba ambayo kuna karamu, na kuketi humo ili kula na kunywa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thou shalt not also go into the house of feasting, to sit with them to eat and to drink.

In Context

7Hakuna yeyote atakayewapa chakula ili kuwafariji wale waombolezao kwa ajili ya wale waliokufa, hata akiwa amefiwa na baba au mama, wala hakuna yeyote atakayewapa kinywaji ili kuwafariji.

9Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote, aliye Mungu wa Israeli: ‘Mbele ya macho yako na katika siku zako, nitakomesha sauti zote za shangwe na za furaha, na pia sauti za bibi arusi na bwana arusi mahali hapa.’

Read all of Yeremia 16

Cross References

Psalms 26:4Siketi pamoja na watu wadanganyifu, 2 wala siandamani na wanafiki, 1

Isaiah 22:12Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote, 2 aliwaita siku ile 1 ili kulia na kuomboleza, 2 kungʼoa nywele zenu na kuvaa nguo ya gunia. 1

Amos 6:4Ninyi mnalala juu ya vitanda vilivyofunikwa kwa pembe za ndovu, 2 na kujinyoosha juu ya viti vya fahari. 1 Mnajilisha kwa wana-kondoo wazuri 2 na ndama walionenepeshwa. 1

Luke 17:27Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.

Ephesians 5:11Msishiriki matendo ya giza yasiyofaa, bali yafichueni.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 16:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 16:7Yeremia 16Yeremia 16:9 →