The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:24

Yeremia 2:24

punda-mwitu aliyezoea jangwa, 2 anayenusa upepo katika tamaa yake kubwa: 1 katika wakati wake wa kuhitaji mbegu 2 ni nani awezaye kumzuia? 1 Madume yoyote yanayomfuatilia 2 hayana haja ya kujichosha; 2 wakati wa kupandwa kwake watampata tu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

A wild ass used to the wilderness, that snuffeth up the wind at her pleasure; in her occasion who can turn her away? all they that seek her will not weary themselves; in her month they shall find her.

In Context

23“Wawezaje kusema, ‘Mimi si najisi, 2 sijawafuata Mabaali’? 1 Kumbuka jinsi ulivyotenda kule bondeni; 2 fikiri uliyoyafanya. 1 Wewe ni ngamia jike mwenye mbio 2 ukikimbia hapa na pale, 1

25Usikimbie hadi miguu yako iwe haina viatu, 2 na koo lako liwe limekauka. 1 Lakini ulisema, ‘Haina maana! 2 Ninaipenda miungu ya kigeni, 2 nami lazima niifuatie.’ 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Job 11:12Mpumbavu aweza kuwa mwenye hekima, 2 endapo mtoto wa punda-mwitu atazaliwa mwanadamu. 1

Job 39:5“Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? 2 Ni nani aliyezifungua kamba zake? 1

Jeremiah 2:27Wanaiambia miti, ‘Wewe ndiwe baba yangu,’ 2 nalo jiwe, ‘Wewe ndiwe uliyenizaa.’ 1 Wamenipa visogo vyao 2 wala hawakunigeuzia nyuso zao; 1 lakini wakiwa katika taabu, wanasema, 2 ‘Njoo utuokoe!’ 1

Ezekiel 16:33Kila kahaba hupokea malipo, lakini wewe hutoa zawadi kwa wapenzi wako wote, ukiwahonga ili waje kwako kutoka kila mahali kwa ajili ya ukahaba wako.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:23Yeremia 2Yeremia 2:25 →