The Bible Software
bible.softwareYeremiaYeremia 2 › Yeremia 2:5

Yeremia 2:5

Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, 2 hata wakatangatanga mbali nami hivyo? 1 Walifuata sanamu zisizofaa, 2 nao wenyewe wakawa hawafai. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Thus saith the LORD, What iniquity have your fathers found in me, that they are gone far from me, and have walked after vanity, and are become vain?

In Context

4Sikia neno la Bwana, ee nyumba ya Yakobo, 2 nanyi nyote jamaa za nyumba ya Israeli.

6Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana, 2 aliyetupandisha kutoka Misri 1 na kutuongoza kupitia nyika kame, 2 kupitia nchi ya majangwa na mabonde, 1 nchi ya ukame na giza, 2 nchi ambayo hakuna mtu asafiriye ndani yake 2 wala hakuna mtu aishiye humo?’ 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Deuteronomy 32:21Wamenifanya niwe na wivu 2 kwa kile ambacho si mungu, 1 na kunikasirisha kwa sanamu zao 2 zisizokuwa na thamani. 1 Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. 2 Nitawafanya wakasirishwe 2 na taifa lile lisilo na ufahamu. 1

2 Kings 17:15Walizikataa amri zake, na agano alilokuwa amelifanya na baba zao, na maonyo aliyokuwa amewapa. Wakafuata sanamu zisizofaa, nao wenyewe wakawa hawafai. Wakayaiga mataifa yaliyowazunguka, ingawa Bwana alikuwa amewaonya akiwaambia, “Msifanye kama wanavyofanya,” nao wakafanya mambo ambayo Bwana alikuwa amewakataza wasifanye.

Isaiah 5:3“Basi enyi wakazi wa Yerusalemu na watu wa Yuda, 2 hukumuni kati yangu na shamba langu la mizabibu. 1

Isaiah 43:22“Hata hivyo hukuniita mimi, ee Yakobo, 2 hujajitaabisha kwa ajili yangu, ee Israeli. 1

Jeremiah 2:31“Enyi wa kizazi hiki, tafakarini neno la Bwana: 1 “Je, nimekuwa jangwa kwa Israeli 2 au nchi ya giza kuu? 1 Kwa nini watu wangu wanasema, ‘Sisi tuko huru kuzurura, 2 hatutarudi kwako tena’? 1

Jeremiah 10:14Kila mmoja ni mjinga na hana maarifa, 2 kila sonara ameaibishwa na sanamu zake. 1 Vinyago vyake ni vya udanganyifu, 2 havina pumzi ndani yavyo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:4Yeremia 2Yeremia 2:6 →