The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:6

Yeremia 2:6

Hawakuuliza, ‘Yuko wapi Bwana, 2 aliyetupandisha kutoka Misri 1 na kutuongoza kupitia nyika kame, 2 kupitia nchi ya majangwa na mabonde, 1 nchi ya ukame na giza, 2 nchi ambayo hakuna mtu asafiriye ndani yake 2 wala hakuna mtu aishiye humo?’ 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Neither said they, Where is the LORD that brought us up out of the land of Egypt, that led us through the wilderness, through a land of deserts and of pits, through a land of drought, and of the shadow of death, through a land that no man passed through, and where no man dwelt?

In Context

5Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, 2 hata wakatangatanga mbali nami hivyo? 1 Walifuata sanamu zisizofaa, 2 nao wenyewe wakawa hawafai. 1

7Niliwaleta katika nchi yenye wingi wa vitu 2 ili mpate kula matunda yake 2 na utajiri wa mazao yake. 1 Lakini mkaja na kuinajisi nchi yangu, 2 na kuufanya urithi wangu chukizo. 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Exodus 14:1Ndipo Bwana akamwambia Mose,

Deuteronomy 8:14basi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau Bwana Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.

Deuteronomy 32:10Katika nchi ya jangwa alimkuta, 2 katika nyika tupu ivumayo upepo. 1 Alimhifadhi na kumtunza; 2 akamlinda kama mboni ya jicho lake, 1

2 Kings 2:14Ndipo akalichukua lile vazi ambalo lilikuwa limeanguka kutoka kwa Eliya, naye akayapiga yale maji nalo. Akauliza, “Yuko wapi sasa Bwana, Mungu wa Eliya?” Elisha alipoyapiga maji, yakagawanyika kulia na kushoto, naye akavuka.

Job 10:21kabla sijaenda mahali ambapo hakuna kurudi tena, 2 katika nchi ya giza na uvuli wa mauti, 1

Psalms 23:4Hata kama nikipita katikati 2 ya bonde la uvuli wa mauti, 1 sitaogopa mabaya, 2 kwa maana wewe upo pamoja nami; 1 fimbo yako na mkongojo wako 2 vyanifariji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:5Yeremia 2Yeremia 2:7 →