Deuteronomy 32:21
Wamenifanya niwe na wivu 2 kwa kile ambacho si mungu, 1 na kunikasirisha kwa sanamu zao 2 zisizokuwa na thamani. 1 Nitawafanya wawaonee wivu wale ambao si taifa. 2 Nitawafanya wakasirishwe 2 na taifa lile lisilo na ufahamu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 12:21Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana.
1 Kings 16:13kwa sababu ya dhambi zote Baasha na mwanawe Ela walizokuwa wametenda na wakasababisha Israeli kuzitenda, basi wakamkasirisha Bwana, Mungu wa Israeli kwa sanamu zao zisizofaa.
2 Kings 17:11Wakafukiza uvumba kila mahali palipoinuka, kama yalivyofanya yale mataifa ambayo Bwana alikuwa ameyafukuza mbele yao. Wakafanya mambo maovu ambayo yalimghadhibisha Bwana.
2 Kings 22:17Kwa sababu wameniacha mimi na kufukiza uvumba kwa miungu mingine, na kunighadhibisha kwa sanamu zote zilizotengenezwa kwa mikono yao, hasira yangu itawaka dhidi ya mahali hapa, wala haitatulizwa.’
Psalms 78:58Wakamkasirisha Mungu kwa mahali pao pa juu pa kuabudia miungu, 2 wakachochea wivu wake kwa sanamu zao. 1
Jeremiah 2:11Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote? 2 (Hata ingawa hao si miungu kamwe.) 1 Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao 2 kwa sanamu zisizofaa kitu. 1