Yeremia 2:9
“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” 4 asema Bwana. 2 “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore I will yet plead with you, saith the LORD, and with your children’s children will I plead.
In Context
Cross References
Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Psalms 50:4Anaziita mbingu zilizo juu, 2 na nchi, ili aweze kuwahukumu watu wake: 1
Isaiah 43:26Tafakari mambo yaliyopita, 2 njoo na tuhojiane, 2 leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 1
Jeremiah 2:35unasema, ‘Sina hatia; 2 Mungu hajanikasirikia.’ 1 Lakini nitakuhukumu kwa sababu unasema, 2 ‘Mimi sijatenda dhambi.’ 1
Hosea 2:2“Mkemeeni mama yenu, mkemeeni, 2 kwa maana yeye si mke wangu, 2 nami si mume wake. 1 Aondoe sura ya uzinzi katika uso wake 2 na uzinzi kati ya matiti yake. 1
Hosea 12:3Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; 2 kama mwanadamu, alishindana na Mungu. 1