Isaya 43:26
Tafakari mambo yaliyopita, 2 njoo na tuhojiane, 2 leta shauri lako uweze kupewa haki yako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Put me in remembrance: let us plead together: declare thou, that thou mayest be justified.
In Context
27Baba yako wa kwanza alitenda dhambi, 2 wasemaji wako wameasi dhidi yangu. 1
Cross References
Job 16:21kwa niaba ya mtu anamsihi Mungu 2 kama mtu anavyosihi kwa ajili ya rafiki yake. 1
Job 40:4“Mimi sistahili kabisa: ninawezaje kukujibu wewe? 2 Nauweka mkono wangu juu ya kinywa changu. 1
Job 40:8“Je, utabatilisha hukumu yangu? 2 Utanilaumu mimi ili kujihesabia haki mwenyewe? 1
Isaiah 1:18“Njooni basi tuhojiane,” 2 asema Bwana. 1 “Ingawa dhambi zenu ni kama rangi nyekundu, 2 zitakuwa nyeupe kama theluji; 1 ingawa ni nyekundu sana kama damu, 2 zitakuwa nyeupe kama sufu. 1
Isaiah 43:9Mataifa yote yanakutanika pamoja, 2 na makabila yanakusanyika. 1 Ni nani miongoni mwao aliyetangulia kutuambia haya, 2 na kututangazia mambo yaliyopita? 1 Walete mashahidi wao ili kuwathibitisha kuwa walikuwa sahihi, 2 ili wengine waweze kusikia, waseme, “Ni kweli.” 1
Jeremiah 2:21Nilikupanda ukiwa mzabibu ulio bora sana, 2 mkamilifu na wa mbegu nzuri. 1 Ilikuwaje basi ukawa kinyume nami, 2 ukaharibika na kuwa mzabibu mwitu? 1