The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 2 › Yeremia 2:10

Yeremia 2:10

Vuka, nenda ngʼambo mpaka pwani ya Kitimu + 2:10 Kitimu hapa ni Kipro, kisiwa katika Bahari ya Mediterania. nawe uangalie, 2 tuma watu waende Kedari, wachunguze kwa makini, 2 uone kama kumekuwepo kitu kama hiki. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For pass over the isles of Chittim, and see; and send unto Kedar, and consider diligently, and see if there be such a thing.

In Context

9“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” 4 asema Bwana. 2 “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. 1

11Je, taifa limebadili miungu yake wakati wowote? 2 (Hata ingawa hao si miungu kamwe.) 1 Lakini watu wangu wamebadili Utukufu wao 2 kwa sanamu zisizofaa kitu. 1

Read all of Yeremia 2

Cross References

Genesis 10:4Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu.

Numbers 24:24Meli zitakuja kutoka pwani za Kitimu, 1 zitaitiisha Ashuru na Eberi, 2 lakini nao pia wataangamizwa.”

1 Chronicles 1:7Wana wa Yavani walikuwa: 2 Elisha, Tarshishi, Kitimu na Rodanimu. 2 Wana Wa Hamu 1

1 Chronicles 23:12Wana wa Kohathi walikuwa wanne: 2 Amramu, Ishari, Hebroni na Uzieli. 1

Isaiah 21:16Hili ndilo Bwana analoniambia: “Katika muda wa mwaka mmoja, kama vile mtumishi aliyefungwa na mkataba angeihesabu, majivuno yote ya Kedari yatafikia mwisho.

Isaiah 23:12Alisema, “Usizidi kufurahi, 2 ee Bikira Binti Sidoni, sasa umepondwa! 1 “Simama, vuka uende Kitimu; 2 hata huko hutapata pumziko.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 2:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 2:9Yeremia 2Yeremia 2:11 →