The Bible Software
bible.softwareHoseaHosea 12 › Hosea 12:3

Hosea 12:3

Yakobo akiwa tumboni alishika kisigino cha kaka yake; 2 kama mwanadamu, alishindana na Mungu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He took his brother by the heel in the womb, and by his strength he had power with God:

In Context

2Bwana analo shtaka dhidi ya Yuda, 2 atamwadhibu Yakobo kwa kadiri ya njia zake 2 na kumlipa kwa kadiri ya matendo yake. 1

4Alishindana na malaika na kumshinda; 2 alilia na kuomba upendeleo wake. 1 Alimkuta huko Betheli 2 na kuzungumza naye huko: 1

Read all of Hosea 12

Cross References

Genesis 32:24Kwa hiyo Yakobo akaachwa peke yake na mtu mmoja akashikana naye mweleka mpaka mapambazuko.

2 Kings 17:20Kwa hiyo Bwana aliwakataa watu wote wa Israeli; akawatesa na kuwaachia katika mikono ya wateka nyara hadi alipowaondoa kutoka kwenye uwepo wake.

Jeremiah 2:9“Kwa hiyo naleta tena mashtaka dhidi yako,” 4 asema Bwana. 2 “Nami nitaleta mashtaka dhidi ya watoto wa watoto wako. 1

Ezekiel 7:8Ninakaribia kumwaga ghadhabu yangu juu yenu na kumaliza hasira yangu dhidi yenu, nitawahukumu sawasawa na matendo yenu na kuwalipiza kwa ajili ya desturi zenu zote za machukizo.

Hosea 4:9Hata itakuwa: Kama walivyo watu, 2 ndivyo walivyo makuhani. 1 Nitawaadhibu wote wawili kwa ajili ya njia zao 2 na kuwalipa kwa matendo yao. 1

Micah 6:2Sikilizeni, ee milima, mashtaka ya Bwana, 2 sikilizeni, enyi misingi ya milele ya dunia. 1 Kwa kuwa Bwana ana shauri dhidi ya watu wake; 2 anatoa mashtaka dhidi ya Israeli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Hosea 12:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Hosea 12:2Hosea 12Hosea 12:4 →