Yeremia 23:6
Katika siku zake, Yuda ataokolewa 2 na Israeli ataishi salama. 1 Hili ndilo jina atakaloitwa: 2 Bwana Haki Yetu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 33:28Hivyo Israeli ataishi salama peke yake. 2 Mzao wa Yakobo ni salama 1 katika nchi ya nafaka na divai mpya, 2 mahali ambapo mbingu 2 hudondosha umande. 1
Psalms 45:5Mishale yako mikali na ichome mioyo ya adui za mfalme, 2 mataifa na yaanguke chini ya nyayo zako. 1
Isaiah 2:4Atahukumu kati ya mataifa 2 na ataamua migogoro ya mataifa mengi. 1 Watafua panga zao ziwe majembe, 2 na mikuki yao kuwa miundu ya kukata matawi. 1 Taifa halitainua upanga dhidi ya taifa jingine, 2 wala hawatajifunza vita tena. 1
Isaiah 9:6Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, 2 tumepewa mtoto mwanaume, 2 nao utawala utakuwa mabegani mwake. 1 Naye ataitwa 2 Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, 2 Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. 1
Isaiah 32:1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu 2 na watawala watatawala kwa haki. 1
Isaiah 33:5Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka, 2 ataijaza Sayuni kwa haki na uadilifu. 1