The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 49 › Yeremia 49:7

Yeremia 49:7

Kuhusu Edomu: Hili ndilo asemalo Bwana Mwenye Nguvu Zote: 1 “Je, hakuna tena hekima katika Temani? 2 Je, shauri limewapotea wenye busara? 2 Je, hekima yao imechakaa? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Concerning Edom, thus saith the LORD of hosts; Is wisdom no more in Teman? is counsel perished from the prudent? is their wisdom vanished?

In Context

6“Lakini hatimaye, 2 nitarudisha mateka wa Waamoni,” 4 asema Bwana. 1 Ujumbe Kuhusu Edomu

8Geuka na ukimbie, jifiche katika mapango marefu kabisa, 2 wewe uishiye Dedani, 1 kwa kuwa nitaleta maafa juu ya Esau 2 wakati nitakapomwadhibu. 1

Read all of Yeremia 49

Cross References

Genesis 25:30Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.) + 25:30 Edomu maana yake Mwekundu.

Genesis 36:8Kwa hiyo Esau (ambaye ni Edomu) aliishi katika nchi ya kilima huko Seiri.

Genesis 36:15Hawa ndio waliokuwa wakuu miongoni mwa wazao wa Esau: 1 Wakuu wa wana wa Elifazi, mzaliwa wa kwanza wa Esau ni: 2 Temani, Omari, Sefo, Kenazi,

Numbers 20:14Mose akawatuma wajumbe kutoka Kadeshi kwenda kwa mfalme wa Edomu, akisema: “Hili ndilo ndugu yako Israeli asemalo: Wewe unafahamu juu ya taabu zote ambazo zimetupata.

Deuteronomy 23:7Usimchukie Mwedomu, kwa kuwa yeye ni ndugu yako. Usimchukie Mmisri, kwa sababu uliishi kama mgeni katika nchi yake.

Job 2:11Basi marafiki watatu wa Ayubu, ndio Elifazi Mtemani, na Bildadi Mshuhi na Sofari Mnaamathi, waliposikia juu ya taabu yote iliyompata Ayubu, wakajipanga toka manyumbani mwao, nao wakakutana pamoja kwa makubaliano kwenda kumtuliza katika taabu hiyo na kumfariji.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 49:7

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 49:6Yeremia 49Yeremia 49:8 →