Yeremia 3:19
“Mimi mwenyewe nilisema, 1 “ ‘Tazama jinsi nitakavyowatunza kwa furaha kama wana 2 na kuwapa nchi nzuri, 2 urithi ulio mzuri kuliko wa taifa jingine lolote.’ 1 Nilidhani mngeniita ‘Baba,’ 2 na msingegeuka, mkaacha kunifuata. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Deuteronomy 14:1Ninyi ni watoto wa Bwana Mungu wenu. Msijichanje ama kujinyoa upara kwenye paji la uso kwa ajili ya aliyekufa,
Proverbs 3:35Wenye hekima hurithi heshima, 2 bali huwaaibisha wapumbavu.
Isaiah 64:8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu. 2 Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi; 2 sisi sote tu kazi ya mkono wako. 1
Jeremiah 5:7“Kwa nini niwasamehe? 2 Watoto wenu wameniacha na kuapa kwa miungu ambayo si miungu. 1 Niliwapatia mahitaji yao yote, 2 lakini bado wamefanya uzinzi na kusongana katika nyumba za makahaba. 1
Jeremiah 31:9Watakuja wakilia; 2 wataomba wakati ninawarudisha. 1 Nitawaongoza kando ya vijito vya maji 2 katika mapito yaliyo tambarare ambapo hawatajikwaa, 1 kwa sababu mimi ndimi baba wa Israeli, 2 naye Efraimu ni mzaliwa wangu wa kwanza. 1
Jeremiah 32:39Nitawapa moyo mmoja na kutenda pamoja, ili kwamba waniche daima kwa mema yao wenyewe na kwa mema ya watoto wao baada yao.