Jeremiah 30:21
Mmoja wao atakuwa kiongozi wao; 2 mtawala wao atainuka miongoni mwao. 1 Nitamleta karibu nami, 2 naye atanikaribia mimi, 1 kwa maana ni nani yule atakayejitolea 2 kuwa karibu nami?’ 4 asema Bwana. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
22‘Kwa hiyo ninyi mtakuwa watu wangu, 2 nami nitakuwa Mungu wenu.’ ” 1
Cross References
Genesis 18:27Kisha Abrahamu akasema tena: “Sasa kwa kuwa nimekuwa na ujasiri wa kuzungumza na Bwana, ingawa mimi si kitu bali ni mavumbi na majivu;
Genesis 18:32Abrahamu akasema, “Bwana na asikasirike, lakini niruhusu nizungumze tena mara moja tu. Itakuwaje kama watapatikana huko watu kumi tu?” Bwana akajibu, “Kwa ajili ya hao kumi, sitauangamiza.”
Numbers 16:5Kisha akamwambia Kora na wafuasi wake wote: “Asubuhi Bwana ataonyesha ni nani aliye wake na ni nani aliye mtakatifu, tena atamtaka mtu huyo aje kwake. Mtu yule ambaye atamchagua atamfanya kuja karibu naye.
Numbers 17:12Waisraeli wakamwambia Mose, “Tutakufa! Tumepotea, sote tumepotea!
Deuteronomy 18:18Nitawainulia nabii kama wewe kutoka miongoni mwa ndugu zao; nitaweka maneno yangu kinywani mwake, naye atawaambia kila kitu nitakachomwamuru.
2 Samuel 7:13Yeye ndiye atakayejenga nyumba kwa ajili ya Jina langu, nami nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake milele.