Yeremia 37:2
Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya Bwana aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Leviticus 8:36Kwa hiyo Aroni na wanawe wakafanya kila kitu Bwana alichoamuru kupitia kwa Mose.
2 Samuel 12:25Kwa kuwa Bwana alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia + 12:25 Yedidia maana yake Apendwaye na Bwana. kwa ajili ya Bwana.
1 Kings 16:7Zaidi ya hayo, neno la Bwana likamjia Baasha pamoja na nyumba yake kupitia kwa nabii Yehu mwana wa Hanani, kwa sababu ya maovu yote aliyokuwa ametenda machoni pa Bwana, akamkasirisha kwa mambo aliyotenda, na kuwa kama nyumba ya Yeroboamu, na pia kwa sababu aliiangamiza. 1 Ela Mfalme Wa Israeli
2 Chronicles 36:11Sedekia alikuwa na umri wa miaka ishirini na mmoja alipoanza kutawala, naye akatawala huko Yerusalemu kwa miaka kumi na mmoja.
Proverbs 26:6Kama vile ilivyo kujikata miguu au kunywa hasara, 2 ndivyo ilivyo kutuma ujumbe kwa mkono wa mpumbavu. 1
Ezekiel 21:25“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,