The Bible Software
bible.softwareEzekielEzekiel 21 › Ezekiel 21:25

Ezekiel 21:25

“ ‘Ee mtawala kafiri na mwovu wa Israeli, ambaye siku yako imewadia, ambaye wakati wako wa adhabu umefikia kilele chake,

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And thou, profane wicked prince of Israel, whose day is come, when iniquity shall have an end,

In Context

24“Kwa hiyo hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: ‘Kwa sababu enyi watu mmekumbusha uovu wenu kwa kuasi waziwazi, mkidhihirisha dhambi zenu katika yale yote mfanyayo, kwa kuwa mmefanya jambo hili, mtachukuliwa mateka.

26hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Vua kilemba, ondoa taji. Kwa kuwa mambo hayatakuwa kama yalivyokuwa. Aliye mnyonge atakwezwa na aliyekwezwa atashushwa.

Read all of Ezekiel 21

Cross References

Psalms 7:9Ee Mungu mwenye haki, 2 uchunguzaye mawazo na mioyo, 1 komesha ghasia za waovu 2 na ufanye wenye haki waishi kwa amani. 1

Psalms 48:13yatafakarini vyema maboma yake, 2 angalieni ngome zake, 1 ili mpate kusimulia habari zake 2 kwa kizazi kijacho. 1

Jeremiah 49:1Kuhusu Waamoni: Hili ndilo asemalo Bwana: 1 “Je, Israeli hana wana? 2 Je, hana warithi? 1 Kwa nini basi Moleki amechukua milki ya Gadi? 2 Kwa nini watu wake wanaishi katika miji yake? 1

Jeremiah 51:13Wewe uishiye kando ya maji mengi 2 na uliye na wingi wa hazina, 1 mwisho wako umekuja, 2 wakati wako wa kukatiliwa mbali. 1

Ezekiel 7:6Mwisho umewadia! Mwisho umewadia! Umejiinua wenyewe dhidi yenu. Umewadia!

Ezekiel 21:29Wakati wakitoa maono ya uongo kwa ajili yako, 2 wanapobashiri uongo kwa ajili yako, 1 wanakuweka wewe kwenye shingo za watu wapotovu, 2 wale walio waovu, 1 wale ambao siku yao imewadia, 2 wakati wa adhabu yao ya mwisho. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ezekiel 21:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ezekiel 21:24Ezekiel 21Ezekiel 21:26 →