The Bible Software
bible.softwareJeremiahJeremiah 15 › Jeremiah 15:21

Jeremiah 15:21

“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu, 2 na kukukomboa kutoka makucha ya watu wakatili.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And I will deliver thee out of the hand of the wicked, and I will redeem thee out of the hand of the terrible.

In Context

20Nitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa, 2 ngome ya ukuta wa shaba; 1 watapigana nawe 2 lakini hawatakushinda, 1 kwa maana mimi niko pamoja nawe 2 kukuponya na kukuokoa,” 4 asema Bwana. 1

Read all of Jeremiah 15

Cross References

Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”

Psalms 37:40Bwana huwasaidia na kuwaokoa, 2 huwaokoa kutoka kwa waovu na kuwahifadhi, 2 kwa maana wanamkimbilia.

Isaiah 29:5Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini, 2 kundi la wakatili watakuwa 2 kama makapi yapeperushwayo. 1 Naam, ghafula, mara moja, 2

Isaiah 49:24Je, nyara zaweza kuchukuliwa kutoka kwa mashujaa wa vita, 2 au mateka kuokolewa kutoka kwa watu wakali?

Jeremiah 20:13Mwimbieni Bwana! 2 Mpeni Bwana sifa! 1 Yeye huokoa uhai wa mhitaji 2 kutoka mikononi mwa waovu. 1

Jeremiah 50:34Lakini Mkombozi wao ana nguvu; 2 Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. 1 Atatetea kwa nguvu shauri lao 2 ili alete raha katika nchi yao, 1 lakini ataleta msukosuko 2 kwa wale waishio Babeli. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Jeremiah 15:21

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jeremiah 15:20Jeremiah 15