The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:19

Yeremia 4:19

Ee mtima wangu, mtima wangu! 2 Ninagaagaa kwa maumivu. 1 Ee maumivu makuu ya moyo wangu! 2 Moyo wangu umefadhaika ndani yangu, 2 siwezi kunyamaza. 1 Kwa sababu nimesikia sauti ya tarumbeta, 2 nimesikia kelele ya vita. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

My bowels, my bowels! I am pained at my very heart; my heart maketh a noise in me; I cannot hold my peace, because thou hast heard, O my soul, the sound of the trump, the alarm of war.

In Context

18“Mwenendo wako na matendo yako mwenyewe 2 yameleta haya juu yako. 1 Hii ndiyo adhabu yako. 2 Tazama jinsi ilivyo chungu! 2 Tazama jinsi inavyochoma moyo!” 1

20Maafa baada ya maafa, 2 nchi yote imekuwa magofu. 1 Kwa ghafula mahema yangu yameangamizwa, 2 makazi yangu kwa muda mfupi. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Numbers 10:9Wakati mtakapopigana vita katika nchi yenu wenyewe dhidi ya adui anayewaonea, piga tarumbeta kwa mlio wa kujulisha hatari. Ndipo utakumbukwa na Bwana Mungu wenu na kuokolewa kutoka kwa adui zenu.

2 Kings 4:19Akamwambia baba yake, “Kichwa changu! Kichwa changu!” Baba yake akamwambia mtumishi, “Mchukue umpeleke kwa mama yake.”

Psalms 16:2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; 2 pasipo wewe sina jambo jema.” 1

Psalms 103:1Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. 2 Vyote vilivyomo ndani yangu 2 vilihimidi jina lake takatifu. 1

Psalms 119:53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu, 2 ambao wameacha sheria yako. 1

Psalms 146:1Msifuni Bwana! + 146:1 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah. 1 Ee nafsi yangu, umsifu Bwana, 2

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:19

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:18Yeremia 4Yeremia 4:20 →