The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:22

Yeremia 4:22

“Watu wangu ni wapumbavu, 2 hawanijui mimi. 1 Ni watoto wasio na akili, 2 hawana ufahamu. 1 Ni hodari kutenda mabaya, 2 hawajui kutenda yaliyo mema.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For my people is foolish, they have not known me; they are sottish children, and they have none understanding: they are wise to do evil, but to do good they have no knowledge.

In Context

21Hata lini nitaendelea kuona bendera ya vita 2 na kusikia sauti za tarumbeta? 1

23Niliitazama dunia, 2 nayo haikuwa na umbo tena ni tupu; 1 niliziangalia mbingu, 2 mianga ilikuwa imetoweka. 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Genesis 39:16Yule mwanamke akaliweka lile vazi karibu naye mpaka Potifa aliporudi nyumbani.

Deuteronomy 32:28Wao ni taifa lisilo na akili, 2 hakuna busara ndani yao. 1

2 Samuel 16:21Ahithofeli akamjibu, “Kutana kimwili na masuria wa baba yako aliowaacha kutunza jumba la kifalme. Ndipo Israeli yote itakaposikia kwamba umejifanya chukizo kwa baba yako, nayo mikono ya kila mmoja aliye pamoja nawe itatiwa nguvu.”

Psalms 36:4Hata kitandani mwake hupanga hila mbaya, 2 hujitia katika njia ya dhambi 2 na hakatai lililo baya. 1

Isaiah 1:3Ngʼombe anamjua bwana wake, 2 naye punda anajua hori la mmiliki wake, 1 lakini Israeli hajui, 2 watu wangu hawaelewi.” 1

Isaiah 27:11Wakati vijiti vyake vimekauka, huvunjwa 2 nao wanawake huja na kuwasha navyo moto. 1 Kwa kuwa hili ni taifa lisilo na ufahamu, 2 kwa hiyo yeye aliyewafanya hana huruma juu yao, 2 Muumba wao hawaonyeshi fadhili.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:21Yeremia 4Yeremia 4:23 →