The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 4 › Yeremia 4:4

Yeremia 4:4

Jitahirini katika Bwana, 2 tahirini mioyo yenu, 1 enyi wanaume wa Yuda 2 na watu wa Yerusalemu, 1 la sivyo ghadhabu yangu itatoka kwa nguvu 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mliotenda, 2 ikiwaka pasipo wa kuizima. 1 Maafa Kutoka Kaskazini 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Circumcise yourselves to the LORD, and take away the foreskins of your heart, ye men of Judah and inhabitants of Jerusalem: lest my fury come forth like fire, and burn that none can quench it, because of the evil of your doings.

In Context

3Hili ndilo asemalo Bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: 1 “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, 2 wala msipande katikati ya miiba. 1

5“Tangaza katika Yuda na upige mbiu katika Yerusalemu na kusema: 2 ‘Piga tarumbeta katika nchi yote!’ 1 Piga kelele na kusema: 2 ‘Kusanyikeni pamoja! 2 Tukimbilie katika miji yenye maboma!’ 1

Read all of Yeremia 4

Cross References

Deuteronomy 10:16Kwa hiyo tahirini mioyo yenu, na msiwe na shingo ngumu tena.

Deuteronomy 32:22Kwa maana moto umewashwa kwa hasira yangu, 2 ule uwakao hadi kwenye vina vya mauti. 1 Utateketeza dunia pamoja na mazao yake, 2 na kuwasha moto katika misingi ya milima. 1

Isaiah 30:27Tazama, Jina la Bwana linakuja kutoka mbali, 2 likiwa na hasira kali inayowaka 2 pamoja na wingu zito la moshi, 1 midomo yake imejaa ghadhabu 2 na ulimi wake ni moto ulao. 1

Jeremiah 9:25“Siku zinakuja, nitakapowaadhibu wale wote ambao wametahiriwa kimwili tu, asema Bwana,

Jeremiah 15:14Nitakufanya uwe mtumwa wa adui zako 2 katika nchi usiyoijua, 1 kwa kuwa katika hasira yangu moto umewashwa 2 utakaowaka juu yako daima.” 1

Jeremiah 21:12Ewe nyumba ya Daudi, hili ndilo Bwana asemalo: 1 “ ‘Hukumuni kwa haki kila asubuhi, 2 mwokoeni mikononi mwa mdhalimu 2 yeye aliyetekwa nyara, 1 la sivyo ghadhabu yangu italipuka 2 na kuwaka kama moto 1 kwa sababu ya uovu mlioufanya: 2 itawaka na hakuna wa kuizima. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 4:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 4:3Yeremia 4Yeremia 4:5 →