Yeremia 4:9
“Katika siku ile,” asema Bwana 2 “mfalme na maafisa watakata tamaa, 1 makuhani watafadhaika, 2 na manabii watashangazwa mno.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
2 Kings 25:4Kisha ukuta wa mji ukavunjwa, na jeshi lote likakimbia. Wakaondoka mjini usiku kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili karibu na bustani ya mfalme, ingawa Wakaldayo walikuwa wameuzunguka mji. Wakakimbia kuelekea Araba.
Isaiah 19:3Wamisri watakufa moyo, 2 na nitaibatilisha mipango yao. 1 Watatafuta ushauri kwa sanamu na kwa roho za waliokufa, 2 kwa waaguzi na kwa wale waongeao na mizimu. 1
Isaiah 19:16Katika siku ile Wamisri watakuwa kama wanawake. Watatetemeka kwa hofu mbele ya mkono wa Bwana Mwenye Nguvu Zote anaoinua dhidi yao.
Isaiah 22:3Viongozi wako wote wamekimbia pamoja, 2 wamekamatwa bila kutumia upinde. 1 Ninyi nyote mliokamatwa mlichukuliwa wafungwa pamoja, 2 mlikimbia wakati adui alipokuwa bado mbali. 1
Isaiah 29:9Duwaeni na kushangaa, 2 jifanyeni vipofu wenyewe na msione, 1 leweni, lakini si kwa mvinyo, 2 pepesukeni lakini si kwa kileo. 1
Jeremiah 5:31Manabii wanatabiri uongo, 2 makuhani wanatawala kwa mamlaka yao wenyewe, 1 nao watu wangu wanapenda hivyo. 2 Lakini mtafanya nini mwisho wake?