The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 44 › Yeremia 44:16

Yeremia 44:16

“Hatutausikiliza ujumbe uliotuambia katika jina la Bwana!

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

As for the word that thou hast spoken unto us in the name of the LORD, we will not hearken unto thee.

In Context

15Kisha wanaume wote ambao walijua kwamba wake zao walikuwa wakifukiza uvumba kwa miungu mingine, pamoja na wanawake wote waliokuwako, yaani, kusanyiko kubwa na watu wote walioishi nchi ya Misri na Pathrosi, wakamwambia Yeremia,

17Hakika tutafanya kila kitu tulichosema tutakifanya: Tutafukiza uvumba kwa Malkia wa Mbinguni na tutammiminia sadaka zetu za kinywaji kama vile sisi na baba zetu, wafalme wetu na maafisa wetu tulivyofanya katika miji ya Yuda na katika barabara za Yerusalemu. Wakati ule tulikuwa na chakula tele, tulikuwa matajiri wala hatukupata dhara lolote.

Read all of Yeremia 44

Cross References

Exodus 5:2Farao akasema, “Huyo Bwana ni nani, hata nimtii na kuruhusu Israeli uende? Simjui huyo Bwana wala sitawaruhusu Israeli waende.”

Job 15:25kwa sababu amemkunjia Mungu ngumi yake 2 na kujigamba dhidi ya Mwenyezi, 1

Psalms 2:3Wanasema, “Tuvunje minyororo yao 2 na kuvitupilia mbali vifungo vyao.” 1

Isaiah 3:9Nyuso zao zinavyoonekana zinashuhudia dhidi yao, 2 hujivunia dhambi yao kama Sodoma, 2 wala hawaifichi. 1 Ole wao! 2 Wamejiletea maafa juu yao wenyewe. 1

Jeremiah 8:6Nimewasikiliza kwa makini, 2 lakini hawataki kusema lililo sawa. 1 Hakuna anayetubia makosa yake 2 akisema, “Nimefanya nini?” 1 Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewe 2 kama farasi anayekwenda vitani. 1

Jeremiah 11:8Lakini hawakusikiliza wala kujali. Badala yake, walifuata ukaidi wa mioyo yao miovu. Hivyo nikaleta juu yao laana zote za agano nililokuwa nimewaamuru wao kulifuata, lakini wao hawakulishika.’ ”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 44:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 44:15Yeremia 44Yeremia 44:17 →