Yeremia 8:6
Nimewasikiliza kwa makini, 2 lakini hawataki kusema lililo sawa. 1 Hakuna anayetubia makosa yake 2 akisema, “Nimefanya nini?” 1 Kila mmoja hufuata njia yake mwenyewe 2 kama farasi anayekwenda vitani. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Job 10:2Nitamwambia Mungu: Usinihukumu, 2 bali niambie una mashtaka gani dhidi yangu. 1
Job 34:31“Kama mwanadamu akimwambia Mungu, 2 ‘Nimekosa lakini sitatenda dhambi tena. 1
Job 39:19“Je, wewe humpa farasi nguvu 2 au kuivika shingo yake manyoya marefu? 1
Psalms 14:2Bwana anawachungulia wanadamu chini 2 kutoka mbinguni 1 aone kama wako wenye akili, 2 wowote wanaomtafuta Mungu. 1
Isaiah 57:17Nilighadhibika na tamaa yake ya dhambi; 2 nilimwadhibu, nikauficha uso wangu kwa hasira, 2 na bado aliendelea katika njia zake za tamaa. 1
Jeremiah 2:24punda-mwitu aliyezoea jangwa, 2 anayenusa upepo katika tamaa yake kubwa: 1 katika wakati wake wa kuhitaji mbegu 2 ni nani awezaye kumzuia? 1 Madume yoyote yanayomfuatilia 2 hayana haja ya kujichosha; 2 wakati wa kupandwa kwake watampata tu. 1