Yeremia 45:4
Bwana akasema, “Mwambie hivi: ‘Hili ndilo asemalo Bwana: Nitakibomoa kile nilichokijenga, na kungʼoa kile nilichokipanda katika nchi yote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 80:8Ulileta mzabibu kutoka Misri, 2 ukawafukuza mataifa, ukaupanda. 1
Isaiah 5:2Alililima na kuondoa mawe 2 na akaliotesha mizabibu bora sana. 1 Akajenga mnara wa ulinzi ndani yake, 2 na kutengeneza shinikizo la kukamulia divai pia. 1 Kisha akatazamia kupata mazao ya zabibu nzuri, 2 lakini lilizaa matunda mabaya tu. 1
Jeremiah 1:10Tazama, leo nimekuweka juu ya mataifa na falme ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu na kuangamiza, kujenga na kupanda.”
Jeremiah 18:7Ikiwa wakati wowote nikitangaza kuwa taifa au ufalme utangʼolewa, utaangushwa na kuangamizwa,
Lamentations 2:6Ameharibu maskani yake kama bustani, 2 ameharibu mahali pake pa mkutano. 1 Bwana amemfanya Sayuni kusahau 2 sikukuu zake zilizoamriwa na Sabato zake; 1 katika hasira yake kali amewadharau 2 mfalme na kuhani. 1