The Bible Software
bible.software › Yeremia › Yeremia 46 › Yeremia 46:3

Yeremia 46:3

“Wekeni tayari ngao zenu, kubwa na ndogo, 2 mtoke kwa ajili ya vita! 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Order ye the buckler and shield, and draw near to battle.

In Context

2Kuhusu Misri: Huu ni ujumbe dhidi ya jeshi la Farao Neko mfalme wa Misri, lililoshindwa huko Karkemishi kwenye Mto Frati na Nebukadneza mfalme wa Babeli, katika mwaka wa nne wa utawala wa Yehoyakimu mwana wa Yosia mfalme wa Yuda: 1

4Fungieni farasi lijamu, 2 pandeni farasi! 1 Shikeni nafasi zenu 2 mkiwa mmevaa chapeo! 1 Isugueni mikuki yenu, 2 vaeni dirii vifuani! 1

Read all of Yeremia 46

Cross References

Isaiah 8:9Inueni kilio cha vita, enyi mataifa, 2 na mkavunjwevunjwe! 2 Sikilizeni, enyi nyote nchi za mbali. 1 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 2 Jiandaeni kwa vita, nanyi mkavunjwevunjwe! 1

Jeremiah 46:14“Tangaza hili katika Misri, nawe ulihubiri katika Migdoli, 2 hubiri pia katika Memfisi + 46:14 Memfisi kwa Kiebrania ni Nofu. na Tahpanhesi: + 46:14 Ni mji katika Misri. 1 ‘Shikeni nafasi zenu na mwe tayari, 2 kwa kuwa upanga unawala wale wanaokuzunguka.’ 1

Joel 3:9Tangazeni hili miongoni mwa mataifa: 2 Jiandaeni kwa vita! 1 Amsha askari! 2 Wanaume wote wapiganaji 2 wasogee karibu na kushambulia. 1

Nahum 3:14Teka maji kwa ajili ya kuzingirwa kwako, 2 imarisha ulinzi wako, 1 Ufanyie udongo wa mfinyanzi kazi, 2 yakanyage matope, 2 karabati tanuru la kuchomea matofali! 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Yeremia 46:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Yeremia 46:2Yeremia 46Yeremia 46:4 →